Michezo

Kili Music Awards Media Seminar yafana


Waandaji wa Tuzo za Kili Music Award jana waliandaa mkutano maalum kwa ajili ya kutoa elimu kwa waandishi wa Habari pamoja na Wahariri kuhusiana na tuzo hizo.

Kwenye semina hiyo walitoa ufafanuzi kuhusiana na kuanzishwa kwa tunzo hivyo, na jinsi ya Mtoto wa Dandu alivyozipokea mpaka sasa hivi hapa zilipo.

Pia ilitaka waandishi wa habari kuweza kuandika, tuzo hizo kwa mwonekano sahihi kuliko kuandika mabaya kutokana na msanii fulani kajitoa kwa malengo yake. Alisema tuzo hizo kwa sasa ni za pili kwa ukubwa Afrika hivyo ni jadi yetu kuzienzi na kuziheshimu kuliko kuandika kinyume na ukweli wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents