Promotion
Airtel Yala Raha na watoto wa wateja wao Dar es Salaam
>Huu ni mkakati ambao Airtel imejiwekea kusherehekea pamoja na watoto
>wa wateja wao wa makapuni ( corporate customer) wiki moja kabla ya
>sikukuu za pasaka huku lengo likiwa ni kuwa karibu na wateja wao na
>kusambaza upendo wa kampuni hiyo kwa wateja wake na familia zao.
>
>Akiongea kwa niaba ya Airtel Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Bi Irene
>Madege
>alisema” leo tunajisikia furaha kuwa na watoto wa wateja wetu na
>kujumuika nao pamoja, Tumekuwa tukifanya shughuli mbalimbali ikiwa ni
>katika kuwazawadia wateja wetu, lakini leo tunatumia muda huu kuwapa
>burudani watoto ambao ndio wateja wetu wa kesho”.
>
>Kwa muda wa takribani masaa 4 watoto zaidi ya 150 walipata burudani
>mbalimbali ikiwa pamoja na michezo mbalimbali ya watoto kama face
>painting, mashindano ya kucheza music, na pia kupata nafasi ya
>kukutana na wafanyakazi wa Airtel, kumzungumza pamoja na kuwasisitiza
>watoto kuwa wasikivu shuleni ili kufanya vizuri kwenye masomo yao,
>tunaamini watoto hawa wamekuwa na wakati mzuri pamoja nasi. Aliongeza
>Bi Irene.