Burudani

(18+): Kim Kardashian arudi na picha za utata mitandaoni

Ustaa ni kazi kubwa sana, unaweza kufanya jambo lolote ambalo hata hukutarajia ikiwemo hata kupiga picha za utupu ili watu waendelee kukuzungumzia.

Baada ya kukaa kimya kwa kipindi kirefu bila ya kuona picha za utupu za Kim Kardashian, mrembo huyo amerudi tena mitandaoni kwa kuachia picha zake hizo zenye utata ambazo zinaonyesha umbo lake alilobarikiwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents