Burudani

Q Chief afunguka baada ya kupata tumaini jipya kwenye muziki wake ‘sitaki mapenzi napambana na muziki wangu’ (Video)

Bongo5 imefanya jitihada za kumtafuta msanii wa muziki, Q Chief baada ya kuwa kimya kwa miezi miwili toka atangaze kuaachana na muziki. Muimbaji huyo amesema kwa sasa akiwa chini ya kampuni ya Alfa Chain International amefanyiwa counselling na uongozi wa kampuni na amerudi upywa kwenye muziki huku akiahidi kutowaangusha tena Watanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents