Ningekuwa TFF, ningeifanya kama FIFA – Haji Manara (+Video)

Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Hamasa ya Taifa Stars, Haji Manara amewataka mashabiki wa soka kujitokeza kwa wingi katika mchezo wa timu ya taifa ya Taifa Stars dhidi ya DR Congo utakao pigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar Es Salaam.

Manara amewataka wadau wa soka nchini kuona na kutambua mafanikio makubwa ambayo yamepatikana chini ya Uongozi wa sasa wa TFF ikiwemo kwa timu zake za Taifa kufuzu kushiriki michuano mikubwa Barani Afrika mwaka huu 2021 ikiwemo, CHAN nchini Cameron, AFCON U20 nchini Mauritani na AFCON 17 nchini Morocco huku baadhi ya timu zikifanikiwa kubeba makombe.

Kuangalia Full Video Bofya HAPA

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW