Burudani

4:44 yashika namba 1 chati za Billboard

Albamu ya 4:44 kutoka kwa rapper Jay Z inazidi kuendelea kufanya vizuri katika ulimwengu wa muziki kwa kuweza kushika namba moja katika chati za Billboard 200.

Kwa mujibu wa mtandao wa muziki wa Nielsen, albamu hiyo yenye nyimbo 10 na  14 kwa rapper huyo tangu aingie kwenye maisha ya muziki imekuwa moja ya albamu iliyo na uhitaji mkubwa zaidi kwa sasa.

Mpaka sasa 4:44 ndiyo albamu iliyoweka historia kwa miaka 61 katika chati za the Billboard 200 kuwa namba moja kwa muda mfupi.

Albamu hiyo imetaarishwa na producer No I.D. huku wasanii kama Beyoncé, Frank Ocean, Damian Marley, Kim Burrell, The-Dream wamesika pia kuna nyimbo kama vile ‘Bam’, ‘4:44’, ‘Marcy Me’, ‘Smile’, ‘Legacy’ na nyingine.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents