Burudani

Nani kafilisika? 50 Cent aonesha mjengo wa kifahari anaoumalizia, upo Afrika (Picha)

Nani amesema 50 Cent amefilisika? Rapper huyo ameonesha nyumba yake ya kifahari anayoimalizia kuikamilisha.

fifte

Rapper huyo ameshare video ya mjengo huo kwenye Instagram na kuandika: My crib is almost finished in AFRICA. I’m gonna have the creziest House warming party ever. I’ll explain later I got a good life Man.#EFFENVODKA#FRIGO#SMSAUDIO”

Ingawa hakusema nyumba hiyo ipo nchi gani hapa Afrika, 50 ‘ametupia’ picha nyingine inayoonesha sehemu ya nje.

Hivi karibuni msanii huyo alitangaza kufilisika baada ya kuamriwa na mahakama alipe faini ya dola milioni 5 kwa mwanamke aliyemshtaki kutokana na kusambaza mkanda wake wa ngono.

Tazama picha zaidi za mjengo huo hapo chini.

50cent house

unnamed2

unnamed3

unnamed4

unnamed

unnamed1

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents