Burudani

50 Cent atoa somo la jinsi ya kuacha kujichua (masturbation)

Masturbation, ni kitu ambacho watu wengi hufanya kwa siri kujiridhisha pindi wawapo na hamu ya kufanya kale kamchezo kama Diamond anavyokaita! Lakini si kitu ambacho unaweza ukasema hadharani. It’s a dirty secret!

Lakini 50 Cent haoni aibu kulizungumzia hadharani.

Rapper huyo ambaye anasema kujichua ni dhambi ametoa somo la jinsi ya kuachana na tabia hiyo kupitia Twitter kama ifuatavyo.


Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents