Burudani

50 Cent na Starz wamaliza tofauti zao kwa mkataba mnono

By  | 

50 Cent na kituo cha runinga cha Starz mambo yamekuwa shwari.

Wiki iliyopita rapper huyo kupitia mtandao wa Instagram, alikiponda kituo hicho ambacho kinarusha tamthilia yake ya Power na badala yake akaanza kukisifia kituo cha BET.

Jumatano hii kupitia mtandao huo huo, Cent ameonyesha kuwa wamemaliza tofauti zilizopo kati yake na uongozi wa kituo hicho huku akifurahia kuongezewa mkataba wa kutengeneza show nyingine tatu ambazo zitaruka kupitia kituo hicho.

“I just got off with Chris Albrecht, head of STARZ. New Deal More POWER coming your way, next season there will be less of a Wait. Thanks for supporting me, ?‍♂️I can’t believe how much money they just gave me. That shit just fucked with my nerves my hand is shaking. LOL TURN THAT SHIT BACK ON NOW?,” ameandika 50 Cent kwenye mtandao huo.

Rapper huyo ameongeza kwa kuandika, “LOL yo this shit is unbelievable, I have 3 new shows coming on STARZ. BMF, Tomorrow Today, and I GOT AWAY. TICK, TICK ?BOOM. #50centralbet.”

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments