Habari

Aadhibiwa na chuo kwa kuvaa nusu uchi

Mwanafunzi mmoja kutoka chuo cha Makerere, nchini Uganda ameonja joto ya jiwe kwa kuadhibiwa na chuo hicho kutoka na uvaaji wake wa kihasara hasara.

Mwanafunzi huyo aitwaye Rebecca, ambaye yupo mwaka wa tatu akisomea Bachelor of Education, ameathibiwa kwa kukizalilisha chuo hicho kutokana na uvaaji wake wa nguo iliowacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake.

Picha ya mrembo huyo ilianza kuzagaa Mei 27 mwaka huu katika mitandao ya kijamii, baada ya picha hiyo kuwafikia wakuu wa chuo ndipo hatua za kinidhamu zikachukuliwa juu yake.

Soma barua.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents