Tupo Nawe

Abamto aja na ‘Show Me Love’

 

Msanii kutoka Kiumbe Rec anayejulikana kwa jina la Abamto sasa yuko tayari kabisa kwa ujio mwingine wa wimbo wake mpya


unaoitwa ‘SHOW ME LOVE’ ambao amemshirikisha kichwa kikali sana katika upande wa Bongo hip hop anayekwenda kwa jina la ‘Young D’.

Abamto amiambia Bongo5 kwamba, wimbo huo umetengenezwa pale Kiumbe Rec chini ya Prod Georg James.

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW