Mwanamuziki wa kizazi kipya Abamto toka Kiumbe Record, anatarajia kuachia video yake mpya inayokwenda kwa jina la Show me Love, akiwa amemshirikisha dogo mwenye swaga za kweli Young D, ama Young Rapper.
Video ya wimbo huo, ikiwa tayari imeshakamilika chini ya kampuni ya utengenezaji ya video Kiumbe Productioni, na Kiumbe Record