Abbah: Nampongeza Harmonize kwa alichokifanya, watu wakubwa hufanya vitu vikubwa (+Video)

Mwandaaji wa muziki wa Bongo Fleva (Producer Abbah amefunguka laivyokutana na Country Boy lakini pia ukaribu wake na Harmonize. Abbah amempongeza Harmonize kwa hatua anayoendelea kuipiga hususani kwenye muziki wa Bongo Fleva kwa kuendelea kushirikiana na baadhi ya wasanii.

Mbali na hilo Abbah amempongeza mdogo wake Kapipo kwa kazi nzuri anayoendelea kuifanya na kusema anawaomba Watanzania wampe muda na masikio yao kwani ana kitu kikubwa sana kwenye muziki.

Baada ya kupata nafasi ya kuongea Producer Kapipo ambaye amehusika katika baadhi ya ngoma za Ibrah pamoja an Marioo ameeza kuwa Abbah ndio mtu wa kwanza aliyemuamini kwenye kazi yake.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW