Tia Kitu. Pata Vituuz!

Abbas Pira awaonya Biashara United mbele ya ‘Mnyama Simba’, awataka Yanga kuwa makini sana na Coastal Union (+Video)

Mchambuzi wa soka anayekuja kwa kasi nchini, Abbas Pira amechambua mechi mbili zinazo wahusu wakongwe wa soka nchini Simba na Yanga.

Wakati Simba ikitarajia kucheza na Biashara United, mchambuzi huyo amewaonya Biashara United kuwa kucheza kwa tahadhari kubwa mbele ya Simba ambaye amekuwa akizijeruhi kila timu anazokutananazo. Wakati kwa upande wa Yanga amesema kuwa Wanajangwani hao lazima wawe makini mno na Coastal Union ambao kwa sasa wanaonekana kama moto wa kuotea mbali.

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW