Abby Kazi aja kivingine
Mtengezaji wa filamu katika studio ya Kiumbe Rec, Abby Kazi amesema kwa sasa hivi mashabiki wake wasubiri kazi mpya ambayo anatarajia kuanziasha katika stesheni ya Tv. Amesema kazi hiyo ambayo, anataka iwe kama kipindi katika stesheni ya Tv, na kiwe kinarushwa kila siku kwa lengo la kuleta buludani zaidi, ambacho kitakuwa kama mtindo wa majadiliano ya washikaji wa mtaani kuhusiana na jambo lolotoke ambalo litakuwepo kama mada kuu.
Anasema kipindi hicho anatengemea kitakuwa kinapata Air Time katika kuonyeshwa kwenye stesheni ya TBC 1.
Hata hivyo aliongezea kwa kusema filamu yake aliyoandaa chini ya Kiumbe rekodi, ipo karibuni kutoka ameomba mashabiki waweze kuinunua na kupata mambo mapya kabisa katika ulimwengu wa filamu.
Abby Kazi akiwa na Dj Choka