Burudani

Abby Skills aibukia Sharobaro

Abby_Skills_face

Mwanamuziki Abby Skills amesema hivi sasa  yupo chini ya Lebo mpya ya Sharobaro kwaajili ya kujipanga na kutoka Upya, amesema hivi sasa amekuwa na uchungu na gemu kwani amejipanga kwaajili ya kufanya makubwa na producer Bab Junior, baada ya kupoteza muda kujipanga kabala ya kutoka na wimbo wa Dunia.

 

Amesema kwa sasa ametoa wimbo wake mpya aliomshirikisha Mr Blue, unaoitwa Moyo kwaajili ya kujirudisha upya kwenye gemu.

{hwdvideoshare}id=1593|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents