Shinda na SIM Account

Abiria wanusurika kufa ajali ya gari

Abiria wa basi la kibiashara wanusurika kufa baada ya dereva kulivaa lori lililo beba matofali huko Nigeria Anambra.

Mmoja wa abiria, Amaka Cynthia alizituma picha za ajali hiyo katika kurasa yake ya instagram na kusema kuwa “Namshukuru Mungu kwa kuokoa maisha yao.”

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW