Muziki

Ace Hood amchukua tena Chris Brown kuipimp chorus yake kwenye ‘Rider’ (Very Hot)

Wajuzi wa muziki wanajua kabisa kuwa Ace Hood anapokutana na Chris Brown lazima wazalishe hit single. Baada ya kufaya vizuri kwenye single ya Ace Hood ya mwaka 2011 Body 2 Body kwenye albam yake Blood Sweat & Tears, amemchukua tena Chris kutengeneza hit nyingine iitwayo Rider. Wimbo huo upo kwenye albam mpya ya Ace Hood, Trials & Tribulations.

Albam hiyo inatoka July 16 akiwa amewashirikisha Meek Mill, Lil Wayne, Rick Ross, Future, Betty Wright na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents