HabariUncategorized

ACT wafunguka ishu ya Mhe. Zitto kufichwa, kutishiwa kuuawa na usalama wake kwa sasa (+video)

Chama cha ACT Wazalendo kimeweka wazi kuwa kiongozi wao Mhe. Zitto Kabwe amepata vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana  wakitishia usalama wake.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Aprili 24, 208 katika Ofisi Kuu za Chama hicho jijini Dar es salaam, Katibu Itikadi na Uenezi, Ado Shaibu  amesema kuwa kiongozi huyo hajafichwa kama watu wengi wanavyozusha na tayari wameshamuandikia barua IGP Sirro, kutaka uchunguzi ufanyike na ulinzi uimarishwe kwa kiongozi huyo kwani ni jukumu la Jeshi la polisi kulinda raia wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents