Habari

ACT – Wazalendo kuibua mjadala mkuu wa Kitaifa uchambuzi wa bajeti (+video)

Chama cha ACT- Wazalendo kupitia Katibu Kamati ya Uenezi na Mawasiliano ya Umma, Ado Shaibu kimepanga kuja na majadala wa uchambuzi wa Bajeti Kuu utakao wahusisha wabobezi wa uchumi na wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari tarehe 17 Juni, 2018.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents