Habari

ACT -Wazalendo waiomba serikali kuchunguza mishahara wanayolipwa wafanyakazi wa makampuni ya ulinzi (+video)

Chama cha ACT – Wazalendo chaiomba serikali kuchunguza mishahara wanayolipwa walinzi wa Makampuni ya ulinzi kwa kudai kuwa mishahara wanayolipwa ni ya udhalilishaji haifai kulipwa, Kau;i hiyo Imetolewa na Kaimu Katibu Mkuu, Ndugu Msafiri Mtemelwa wakati akizungumza na waandishi wa Habari leo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents