Habari

Adam ala Shavu

Adam ala Shavu
Ni yule Adam (pichani kati kati) ambaye ni maarufu kwa utengenezaji wa video za bongo Flava
kupitia kampuni yake ya Visual Lab Next Level amekuja kivingine

Adam ameigiza katika tamthilia ya Changes ambayo itarushwa katika king’amuzi cha DSTV

Tamthilia hiyo ambayo imechezwa Kenya na wakenya wakiwa wametawala zaidi, itaanza kuoneshwa mwezi huu na itarushwa kila jumanne

Adam ameigiza kama Minja Kabwe katika tamthilia iyo ambayo ina maudhui ya mapenzi na ndoa kiujumla.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents