Aisee DSTV!

Adam Juma awaangukia Watanzania kushindwa kusapoti vipaji halisi na kuangalia majina ‘Tulitaka watu kama Diamond leo hii wanapotezea kazi zake’ (+video)

Muandaaji na muongozaji mkongwe wa video za muziki na filamu hapa Tanzania, Adam Juma amefunguka sababu hasa za tasnia ya filamu kudumaa kwa muda mrefu licha ya wasanii wengi wachanga kufanya kazi nzuri kuliko wale wenye majina makubwa.

Akiongea na Bongo5, Adam Juma amesema kuwa Watanzania wengi wanyanyapaaji wa kazi za wasanii, Akitolea mfano wa Diamond Platnumz kwa kusema kuwa Tanzania ilikuwa inahitaji wasanii wakubwa kama Diamond lakini leo hii yupo watu hawachezi nyimbo zake na wengine hata sapoti ya kununua hawanunui.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW