Michezo

Adebayor ajipeleka Juventus

 

Mshambuliji wa Man City Emmanueli Adebayor ameeleza anatamani kujaribu bahati yake katika ligi kuu ya Italia Series A na kuitaja klabu ya Juventus kuwa ndio chaguo lake la kwanza.

Ningependa kucheza Italia kwani ninajiona nitakuwa na wakati mzuri nitakapo chezea Juventus. Niliongea na Patrick Viera na alinieleza jinsi alivyo kuwa na msimu mzuri klabuni hapo.
Soka la Italia lina mbinu nyingi na ninapenda sana hali hiyo,

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents