Afisa Ardhi Ilala azimia baada ya kutumbuliwa na RC Makonda (Video)

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amemwagiza Mkurugenzi mkoani humo kuwapangia kazi nyingine wakuu wa Idara ya Mipango Miji Manispaa ya Ilala, Paul Mbembela na wa Ubungo, Hamis Songwe. Pia Kaimu Mkuu idara ya maendeleo na ustawi wa jamii Ilala, Sapensia Masawe atapangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kutekeleza majuku yake Kufuatia agizo hilo, Paul Mbembela alianguka na kukimbizwa hospitali kwa matibabu. Mkutano huo ulenga kurejesha majibu kwa wakazi wa Dar es salaam waliodhulumiwa mali zao tofauti.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW