Michezo
Afisa wa Polisi ashinda bajaj aina ya TVS King kutoka SportPesa
Mkazi wa Chato ambaye ni Afisa Polisi ameibuka mshindi wa bajaj TVS King kutoka SportPesa.
Mshindi huyo wa droo ya 26 ambaye ni Masinde Charles Majogoro (26),amepatikana baada ya kujiunga na kuanza kubashiri mechi mbalimbali kupitia Sportpesa.
Mshindi huyo amesema hakuamini kama ni kweli ameshinda mkapa alivyokabidhiwa bajaj yake.
Hata wewe unaweza kushinda unachotakiwa kufanya ni kutuma neno Game kwenda 15888.