Bongo5 Exclusives

African film development awards 2013 kutolewa Dar, 29 June, MC kuwa Tracy Morgan na Kerry Washington wa Marekani

Jiji la Dar es Salaam litakuwa na ugeni mkubwa mwezi June mwaka huu ambapo tuzo za maendeleo ya filamu za Afrika 2013 zitatolewa.

AFRICA FILMS

Tuzo hizo zitakazofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency zitawatuza watu, serikali na makampuni yaliyotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya filamu barani Afrika. Jumla ya tuzo 30 zitatolewa kwa kutumia nominations na tuzo 6 zitatolewa kwenye vipengele visivyokuwa na nominations.

Tuzo hizo pia zitawapa heshima waigizaji wakongwe wa Marekani wenye asili ya kiafrika Morgan Freeman na Whoopie Goldberg.

Kwa taarifa zaidi tembelea http://www.theafricanfilmconsortium.org

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents