Michezo

African Lyon yaifikisha Yanga SC kwa ‘Pilato’

Klabu ya soka ya African Lyon imeitaka Yanga SC iwalipe fidia baada ya kumsajili golikipa wake raia wa Cameroon, Youthe Rostand.

Dar es salaam Young Africans imemsajili kipa huyo kama mbadala wa kipa wao ambaye ni chaguo nambari moja, Deogratius Munish aliyeamua kwenda kucheza soka la kulipwa mje ya mipaka ya Tanzania.

Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, African Lyon imepeleka pingamizi kwa vilabu kadhaa vilivyo wasajili wachezaji wake 19 akiwemo golikipa huyo wakilalamikia kutaka kulipwa fidia itokanayo na usajili wao.

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents