Tia Kitu. Pata Vituuz!

Afya ya Muhammad Ali yazorota zaidi

Muhammad+Ali+Allstate+Sugar+Bowl+Louisville+CBiITQYVpm6l

Afya ya bingwa wa ndondi wa zamani Muhammad Ali hivi karibuni imekuwa mbaya zaidi na kaka yake ameonya kuwa maisha yake yanaweza kuwa mwishoni sasa. Kaka yake huyo ameliambia gazeti la The Sun kuwa kaka yake anaweza kufariki muda si mrefu.

‘He’s in a bad way. He’s very sick. It could be months, it could be days. I don’t know if he’ll last the summer. He’s in God’s hands,’ alisema.

Muhammad+Ali+Allstate+Sugar+Bowl+Louisville+dXAZdAG7SdTl

Muhammad akiwa na Keri Hilson
Muhammad akiwa na Keri Hilson

Mara ya mwisho Ali alionekana kwenye mashindano ya Olimpiki mwaka jana jijini London.Muhammad Ali anaumwa ugonjwa uitwao Parkinson’s ambao umekuwa ukimsumbua kwa muda na kumfanya kutetemeka muda wote.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW