Habari

Aibu kwa Tanzania kuwa na chaguzi zisizokuwa huru na haki – Prof. Lipumba (+video)

Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba ametaka Tume ya Uchaguzi(NEC) kujirekebisha na kuhakikisha wasimamizi wa uchaguzi wanafuata sheria na kanuni za uchaguzi bila kupendelea Chama chochote, huku akieleza kuwa ni aibu kubwa kwa nchi kama Tanzania kuwa na chaguzi zisizokuwa huru za haki miaka 27 baada ya mfumo wa Vyama vingi kuanzishwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents