Aina za simu zilizouza zaidi duniani mwaka 2012

Hizi ni aina sita za simu zilizonunuliwa zaidi duniani mwaka 2012. Hata hivyo simu zote ni za Apple na Samsung.

1. IPhone 5: simu milioni 80 ziliuzwa

iphone 5

2. Samsung Galaxy S III: simu zaidi ya milioni 40 ziliuzwa

galaxy-s-3

3. Samsung Galaxy Note, simu mlioni 10 ziliuzwa

Samsung-Galaxy-Note-ATT-White5

4. Apple iPhone 4S, simu milioni 9.5 ziliuzwa

iphone4S

5. Samsung Galaxy Note II: simu zaidi ya milioni 8.8 ziliuzwa

samsung-galaxy-note-ii

6. Apple iPhone 4: simu milioni 7.3 ziliuzwa

Iphone 4

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents