Habari

Airport yafungwa London kisa bomu la vita ya pili ya dunia

Uwanja wa ndege wa mjini London umelazimika kufungwa kwa siku nzima baada ya bomu la vita vya pili vya dunia kupatikana kwenye mto ulio karibu wa Thames eneo la George V.

Kufuatia hatua hiyo abiria 16,000 watahathiri, hata hivyo abiri wengine wameambiwa wasisafiri kwenda uwanja huo na kushauriwa kuwasiliana na mashirika yao ya ndege.

Mkurugenzi mkuu wa uwanja huo, Robert Sinclair amesema kuwa polisi wanashirikiana na jeshi la wanamaji kuondia bomu hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents