Tupo Nawe

Ajali kazini: Mariah Carey akimbizwa hospitali baada ya ‘high heels’ kumdondosha akiwa katika video shoot!

Katika vitu ambavyo ladies wengi hupenda ni viatu virefu vinavyojulikana kama ‘high heels’, lakini ‘huenda’ katika vitu ambavyo Mariah Carey hataki kusikia kwa sasa ni viatu hivyo, sababu pamoja na kumtia aibu lakini vimepelekea akimbizwe hospitali baada ya kumdondosha na kumsababishia maumivu makali.

mariah_carey

Muwakilishi wa mwanamuziki huyo aliiambia US Weekly kuwa ajali hiyo ilitokea wakati wa utengenezaji wa video ya remix ya “Beautiful” iliyokuwa ikiongozwa na mume wake Nick Cannon, ndipo Carey alidondoka na kusababisha maumivu ya bega.

high heels

Na chanzo kingine kiliuambia mtandao wa New York Post kuwa ajali hiyo ilitokana na viatu virefu (heels) alizokuwa amevaa wakati akicheza katika video hiyo.

You look good in heels but watch your steps ladies!!

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW