Ajali Tucson, Arizona

Ajali Tucson, Arizona
Inasemekana kuwa watanzania watano wamefariki dunia jana mchana
kutokana na ajali ya gari iliotokea jijini Tucson (Arizona), Marekani

Basi hilo ilikuwa na abiria 17, wengine 12 walipelekwa katika hospitali mbali mbali kutibiwa. Inasemekana kuwa basi hilo iliporomoka katika bonde ya Texas Canyon, polisi wanaendelea kupelelza chanzo cha ajali na kuwataarifu familia za marehemu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents