Ajali ya Basi na Lori Tanga

Ajali Tanga

Lori la Mafuta lenye namba za usajili T161ATX likiwa njiani mara baada ya kugongana na basi la HAJEES lililokuwa likitokea Dar kwenda Tanga ambalo liliacha njia maeneo ya Tengwe Mkoani Tanga.

Inasemekana kwamba basi liliacha njia na kulivaa lori, hadi sasa hatujajua idadi ya waliyojeruhiwa.

Ajali Tanga

Poleni sana.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents