Habari

Ajali ya kusikitisha

shabibiby

Watanzania  wapatao 25   wanasadikiwa kufa  na wengine 17  kujeruhiwa vibaya kwenye  ajali ya basi la iliyotokea maeneo ya  Kibaha  Misugusugu  mkoa wa pwani,    likitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma .



Inasadikiwa ajali hiyo ya gari la kampuni  Deluxe Coach, imesababishwa na  kupasuka kwa gurudumu la mbele na kusababisha  kupinduka, na hatmaye kuwaka moto kabisa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents