Burudani

AKA ameimba kwenye ngoma aliyofanya na Diamond – Meneja

Rapper Kiernan Jordan Forbes maarufu kama AKA anapewa cheo kama rapper bora zaidi kwa sasa nchini Afrika Kusini lakini kurap sio kitu pekee anachoweza kufanya.

AKA

AKA ni producer wa muziki aliyesomea sound engineering. Uwezo wake wa kuimba pia unasikika kwenye ngoma yake, Congratulate na hivyo ukiambiwa kuwa ameimba kwenye ngoma aliyofanya na Diamond usishangae.

Kwa mujibu wa meneja wa Diamond, Salam Sharaf, rapper huyo ambaye hivi karibuni alipata mtoto wa kike, ameimba kwenye rekodi hiyo iliyofanyika May mwaka huu.

Salam amesema hayo kwenye semina ya MTV MAMA iliyofanyika leo jijini Durban.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents