Bongo Movie

Aki na Ukwa wa Bongo waja kwa kasi

DSC_0926

Mwigizaji maarufu wa filamu nchini, Emmanuel Myamba maarufu kama Pastor Myamba, amesema anawambaulisha kwa wadau wa filamu nchini wasanii wawili ambao wanajulikana kama Meya na Mogan ambao wanaigiza kama Aki na Ukwa wa Nigeria.

 

Myamba amesema wasanii hao wamepania kufanya mambo makubwa katika filamu ya Pastor Myamba Trial ambayo ipo chini ya PILIPILI Entertaimen, inayokuja hivi karibuni baada ya kufanya vizuri kwa filamu ya Pastor Myamba Temptetion.

Pastor_myamba_na_Mona

Pia Pastor Myamba anasema katika filamu hiyo pia kuna mwanadada Yvonne Charly maarufu kama Monalisa, ambaye ameigiza kama mkewe.

Pastor_NMyamba

Pastor Myamba akinukuu mistari katika filamu ya Pastor Myamba Trial, anasema si filamu ya kukosa maana kuna kila aina ya usanii na ndani ya filamu hiyo…………

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents