AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Albam ya Jay-Z ‘Magna Carta Holy Grail’ ilirekodiwa ndani ya wiki 2

Kwa mujibu wa muimbaji na producer Terius Nash aka The-Dream, albam mpya ya Jay-Z ‘Magna Carta Holy Grail’ ilikamilika ndani ya wiki mbili.

The-Dream alikuwa akizungumza kwenye kituo cha runinga cha Revolt TV.

Maneno hayo ya The-Dream kuhusu uharaka wa kukamilika kwa albam hiyo ya Jay-Z yanambusha maneno yaliyosemwa na producer Rick Rubin hivi karibuni kuwa Kanye West alimalizia mashairi ya nyimbo zake za albam yake ya Yeezus ndani ya masaa mawili tu.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW