BurudaniUncategorized

Albamu kumi zilizofanya vizuri mwaka 2017

Kwa mujibu wa mtandao wa Rap Up duniani uliuoanzishwa mwaka 2001, umetoa orodha ya albamu zaidi ya kumi zinazofanya vizuri duniani kwa mwaka huu 2017.

Kwa mujibu wa mtandao  umeonyesha kuwa rapper Kendrick Lamar  ameshika namba moja kupitia albamu yake ya ‘DAMN ’ huku namba mbili ikishikiliwa na Jay-Z  ‘4:44’ na namba ya tatu ni SZA ‘Ctrl’ wakati namba nne ikishikwa Khalid kupitia albamu ya ‘ American Teen’ na tano ni ‘Culture’ ya Migos

Wengine ni Drake  ‘More Life’, ikifuatiwa na Kehlani ‘SweetSexySavage’ na ikafuatiwa na Lil Uzi Vert  kupitia albamu ya album,’ Luv Is Rage 2’ wakati namba tisa ikifuatiwa na Jidenna ‘The Chief’ na mwisho kabisa ni Daniel Caesar kupitia albamu yake ya  ‘Freudian’

Orodha nyingine ni 11-20 ambao ni :

11.Calvin Harris – Funk Wav Bounces Vol. 1
12. Tyler, the Creator – Flower Boy
13. Majid Jordan – The Space Between
14. Joey Bada$$ – ALL-AMERIKKKAN BADA$$
15. Future – HNDRXX
16. Vince Staples – Big Fish Theory
17. Miguel – War & Leisure
18. Ty Dolla $ign – Beach House 3
19. Snoh Aalegra – Feels
20. Young Thug – BEAUTIFUL THUGGER GIRLS

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents