Burudani

Albamu ya Fela ya taarab yaiva

Fella_face

 

Kiongozi wa kundi la Tmk Wanaume na bendi ya Mkubwa na Wanawe hivi karibuni amekamilisha albamu yake ya taarabu yenye nyimbo sita, zilizojaa mahabati ya pwani na misonoko ya mjini.

Fella amesema albamu hiyo ni yakwanza  tangu alipojiingiza kwenye mziki na alipotoka na wimbo wake wa mwa 2001 ambao ulifanya vizuri kwenye stesheni za redio, kabla ya kuamua kuja na ujio mpya wa  taarabu. Akitaja baadhi ya nyimbo ambazo zitakuwa kwenye albamu hiyo ni . Amezitaja baadhi ya nyimbo ni Kunguni kunguni aka Simwachi aliomshirikisha Isha Mashauzi, Kimodern modern aliompa shavu Khadija Kopa, Midomo Imewashuka alimshirikisha Hassan Kumbi, Mchekacheka akiwa na Dr Rama na nyingine mbili.

Hebu pata kwanza vionjo kidogo za taarabu hizo….
Midomo Imewashuka-Fela Feat Hassan Kumbi
{mmp3}midomoimewashuka_hassankumbi-fella.mp3{/mmp3}

Kisonoko-Fela
{mmp3}Kisonona-mkubwafela.mp3{/mmp3}

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents