Burudani

Albino adaiwa kutoka na Pipi

Habari tulizozipata hivi karibuni ni kwamba mtu mzima Albino fulani anatoka na mwanadada kutoka THT Pipi. Baada ya Dude lenyewe kutoka redioni na kuanza kutamba mitaani baadhi ya watu wameanza kuhoji kuwa je Albino Fulani anatoka na Pipi? Dude lenyewe linalojulikana kwa jina la Usihofu(niko nawe),limepikwa ndani ya studio za Mzuka Records Chini ya usimamizi wa producer Benjamin wa Mabo Jambo .Wadau wa muziki wameshatabiri ngoma hii kutamba katika chati za hapa Bongo na hata nje ya nchi.

Albino amekiri kumkubali Pipi na kipaji chake na hata kutaka kumsaidia kwenda Marekani kuendeleza shughuli za kimziki.

Sikiliza wimbo huo katika playlist yetu kwa kubofya hapa.

Juhudi za kuwapata hawa wasanii wawili kuthibitisha ukweli wa habari hizi bado zinaendelea!!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents