Burudani

Album mpya ya Wakazi itaitwa ‘The Manuscript: Memoirs of The Riddler’

Album mpya ya Wakazi itajulikana kwa jina la ‘The Manuscript: Memoirs of The Riddler.’

wakazi

Wakazi ameiambia Bongo5 kuwa album hiyo itakuwa na nguvu kama ile ya Profesa Jay, ‘Machozi, Jasho na Damu’ ama ya ‘Ugali’ ya Juma Nature.

“Nimefanya kolabo na wasanii wa kimataifa; Kenya, Nigeria, Ghana na Marekani. Hizo zote zitakuwa kwenye album yangu mpya. Kwahiyo ndo nipo kwenye process za kumaliza hii album ambayo ndani yake kutakuwa na nyimbo ambazo zinakidhi vigezo vya kimataifa,” amesema Wakazi.

“Hii album inaweza ikatoka mwaka huu kama uchumi na hali ya kimuziki itaruhusu kwa sababu kuna mambo mengi sana mwaka huu. Sitaki itoke halafu ipotee kwenye hewa tu wakati kuna watu wanaihitaji, kwa sababu hii naona itakuwa na nguvu sana kama ilivyotoka Ugali ya Juma Nature au Machozi, Jacho ya Damu ya Professor.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents