Michezo

Alex Chamberlain kuwa nje ya uwanja kwa wiki kadhaa

Mchezaji wa klabu ya Arsenal Alex Oxlade Chamberlain atakuwa nnje ya uwanja kwa wiki kadhaa kutokana na jeraha la goti ,kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema.

317E0B7F00000578-0-image-a-5_1456479059890

Chamberlain mwenye umri wa miaka 22 alipata jeraha walipogongana na Javier Mascherano wakati wa mechi ya Jumanne ya vilabu bingwa Ulaya.

Aliondoka katika uwanja wa Emirates akiwa na magongo.

”Tulimpoteza Chamberlain siku ya jumanne.Jereha lake ni baya na litamuweka nje kwa wiki kadhaa,”alisema Wenger.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents