Burudani

Ali Keita in Tanzania

Ali Keita Tanzania

Msanii wa kimataifa Ali Keita kutoka Mali alitua nchini juzi na  kufanya onyesho jana, jijini Dar es Salaam katika Ukumbi wa Alliance Francaise. Keita alifanya warisha na wasanii mbalimbali wa hapa nchini Tanzania siku moja kabla ya kufanya onesho.

Keita ni msanii wa kimataifa anayejulikana kama Dobet Ganhore na Ganbe Brass Bendi anayeimba muziki ya ala na  marimba yenye asili ya  Kiivory Cost. Msanii huyo ambaye muziki wake una ala na midundo ya kiasili kama djembe na kora.

Ali Keita Tanzania

Kundi la musiki la Ten Family Group la hapa nchini walishirikiana kufanya onyesho la pamoja na Ali Keita kutoka Mali baada ya kufanya warisha siku moja kabla.

Ali Keita Tanzania

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents