Ali Kiba na Mtaka cha Watu

 

Chanzo cha habari kutoka Mombasa kinasema kwamba ugomvi kati ya Ali Kiba na promota mwenye jina la Sly umeendelea kiasi cha Kiba kumtungia wimbo promota huyu, wimbo unaitwa Mtaka ca Watu. Ugomvi umesababishwa na Kiba kumshuhudia Sly akijaribu kumtonogza demu wake aitwae Hilda Manyala aka Hilly Baby.

Chanzo chetu cha habari kimeendelea kueleza kwamba inasemekana Sly ameingia jikoni kuandaa sinema ya kumdiss Ali Kiba. Bado hatujaupata wimbo huo, tutairusha punde tutakapoupata.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW