Alichofanya Antonio Nugazi na Eng.Hersi Saidi kwa mashabiki (+Video)

Afisa Mhamasishaji wa klabu ya #yangasc @antonionugaz na Mkurugenzi wa uwekezaji Eng. Hersi Said @caamil_88 wakithibitisha ubora wa jezi yao mpya kwa kuivuta bila kuchanika kisha kuwarushia moja mashabiki wa #yangasc waliyofurika makao makuu hayo kama zawadi.

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM  @fumo255

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW