Alichokiandika Wema, Faiza na Esha Buheti baada ya Lulu kutoka gerezani

Jumatatu hii furaha zimetawala baada ya taarifa za Elizabeth ‘Lulu’ Michael kubadilishiwa kifungo kutoka gerezani alipohukumiwa kifungo cha miaka miwili na sasa kutumikia adhabu hiyo akiwa na kifungo cha nje.

Siyo familia yake na mashabiki wake pekee ndio wenye furaha hiyo. hata Wema Sepetu, Steve Nyerere, Faiza Ally na Esha Buheti furaha hiyo imewapitia tena huku wakishindwa kuzuia hisia zao na kuandika kupitia kwenye mitandao yao ya kijamii.

Wema Sepetu
Welcome Back Baby… 💞

Steve Nyerere
LULU NI.JAMBO LA.KUSHUKURU SANA KWANI KILA PITO NAAMINI MUNGU YUPO.PAMOJA NAWE,NICHUKUE NAFASI HII KWA DHATI KABISA KUMSHUKURU MH RAIS JOHN POMBE MAGUFURI KWA MSAMAHA HUUU NAAMINI UMEFANYA JAMBO JEMA SANA RAIS WANGU,NIIPONGEZE MAHAKAMA PIA NA WADAU WOTE MLIO KUWA MNAMUOMBEA MWENZETU KUTOKA ,FAMILY, NJOO LULU TEJENGE TASNIA YETU SASA ,..

Esha Buheti
ALHAMDULILLAH….🤗🤗🤗🤗

Faiza Ally
Well come back shikana …mimi nimefurahi 😍😍😍😍

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW