Burudani

Alichokiandika Zari baada ya kupita masaa 35 tangu atangaze kumwaga Diamond

Baada ya kupita takribani kwa masaa 35 tangu Zari The Bosslady kutangaza kuachana na Diamond, mrembo huyo ameibuka na ujumbe mpya ambao unaonekana kama ametupa jiwe gizani.

Kupitia mtandao wa Instagram leo (Ijumaa), mrembo huyo amepost picha mbili zenye ujumbe tofauti. Katiaka picha ya kwanza hiyo hapo juu ambayo ameiweka kwenye mtandao huo, Zari ameandika, “Consistency is key #Mompreuer.”

Wakati huo huo kwenye picha nyingine malkia huyo ameandika, “Me when people ask what I do…. whatever it takes👌.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents