Burudani

Walichokisema Harmonize na Laizer kuhusu kuuiba wimbo wa ‘Show Me’

Harmonize amefunguka baada ya kudaiwa kuuiba wimbo wa ‘Show Me’ ambao ameshirikisha na Rich Mavoko kutoka kwa msanii KCV.

Bongo5 iliamua kumtafuta Harmo kwa kuchati naye kupitia Whatsapp kwa ajili ya kuzungumzia hizo tuhuma zinazowakabili. Hiki ndicho alichokisema muimbaji huyo.

Baada ya majibu hayo ya Harmonize tulimtafuta mtayarishaji wa wimbo huo, Laizer kutoka studio ya Wasafi Records na yeye alisema kuwa katika kitabu cha wasanii wanaokuja kurekodi katika studio hiyo ajaliona jina la kama hilo.

Hizi ni chati za producer huyo ambazo tuliwasiliana kupitia Whatsapp.


Hata hivyo tulimtafuta Ray C naye ilikuwa ngumu kupatikana lakini bado tunaendelea kumtafuta ili kuweza kusikia anachokifahamu yeye kuhusisana na jambo hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents